Back to home

Wanaoishi kwenye hifadhi za wanyamapori huko Laikipia wapewa meko

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 17, 2025
2h ago
Akina mama zaidi ya 500 kutoka hifadhi mbalimbali za wanyamapori laikipia kaskazini wamenufaika na meko ya kisasa yasiyotoa moshi mwingi ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.