Back to home

Mwongozo wa utoaji huduma bora wazinduliwa kaunti ya Kajiado

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 17, 2025
3h ago
Serikali ya kaunti ya Kajiado kupitia kwa wizara ya afya kwa ushirikiano na shirka la Amref imezindua mpango maaluma wa miaka mitano utakaotoa mwongozo ya kuendesha utoaji wa huduma za afya sawa na afya ya mifugo kupitia mpango unaofahamika kama one health.