Back to home

KENGEN yapanga kuongeza megawati 200 za umeme wa upepo

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 17, 2025
2h ago
Kampuni ya kuzalisha umeme ya KENGEN inapanga kuongeza megawati 200 za umeme wa upepo katika kaunti ya Marsabit kama sehemu ya kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya umeme nchini.