Back to home
Genge lavamia Ndeiya, wakaazi wateketeza magari
video
C
Citizen TV (Youtube)September 17, 2025
2h ago
Polisi eneo la Ndeiya, Kaunti ya Kiambu, wanachunguza tukio moja ambapo genge la uhalifu lilivamia na kuanza kubomoa nyumba katika kijiji cha Boma.