Back to home

Shabiki yazindua supa jackpot ya KSh 100M

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 17, 2025
2h ago
Shabiki.com imezindua mchezo mpya, Shabiki Supa Jackpot wa kitita cha shilingi milioni mia moja. Mshindi mkuu atakuwa mwenye kubashiri mechi 17 kati ya 17 kwa usahihi.