Back to home
Vyuo vya TVET vyapanda miti katika msitu wa Kaberwa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 18, 2025
7h ago
Vyuo saba vya mafunzo ya kiufundi katika kaunti ya Bungoma kwa ushirikiano na idara ya misitu vimeongoza shughuli za upanzi wa miti katika msitu wa kaberwa eneo bunge la Mlima Elgon ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.