Back to home
Mgomo wa wahadhiri katika chuo kikuu cha Kibabii kaunti ya Bungoma
video
C
Citizen TV (Youtube)September 18, 2025
3h ago
Mgomo wa wahadhiri kote nchini umeingia siku ya pili hii leo ambapo Wahadhiri wa chuo kikuu cha kibabii kaunti ya Bungoma wanashinikiza kutekelezwa kwa mkataba wao na serikali.