Back to home
Wanafunzi wa vyuo vya ufundi wataka ufadhili wa elimu
video
C
Citizen TV (Youtube)September 18, 2025
3h ago
Wanafunzi wa Vyuo vya Mafunzo Anuai wametishia kuandamana wiki ijayo kwa kile wanachodai ni kutelekezwa na serikali. Wanafunzi hao wanasema licha ya Rais William Ruto kuahidi watapokea ufadhili wa masomo kwa miaka miwili sasa hawajapata mgao huo suala linalowasukuma wengi wao kua