Back to home

Mwakilishi wodi Githurai 44 ajiuzulu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 18, 2025
3h ago
Mwakilishi wadi ya githurai 44 mwangi waithira amejiuzulu kwa kile anasema ni kukosa pesa za kuendeleza maendeleo kwa wakaazi wa wodi yake. Waithira aliyewasilisha barua ya kujiuzulu leo pia ameonekana kutaja kusukumwa na kudorora kwa uhusiano wake na uongozi wa kaunti ya nairobi