Back to home

Msichana aliyedhaniwa kufariki aibukia Kisii

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 18, 2025
2h ago
Msichana aliyedhaniwa kuzikwa miezi minane iliyopita ameduwaza kijiji kizima huko Nyaribari Chache baada ya kurejea nyumbani akiwa mzima. Sarah Kwamboka amejitokeza baada ya mazishi yake kuandaliwa mwezi Februari mwaka huu, baada ya kuripotiwa kuhusika kwenye ajali ya barabarani.