Back to home
Waziri wa mazingira na Misitu Deborah Barasa azindua mpango wa kupanda mianzi Kericho
video
C
Citizen TV (Youtube)September 19, 2025
2h ago
Waziri wa Mazingira na Misitu Deborah Barasa amezindua upanzi wa Mianzi katika Chuo Kikuu cha Kabianga kaunti ya Kericho.