Back to home
Somo la lugha la Kirusi lashika kasi katika shule za Kisii
video
C
Citizen TV (Youtube)September 19, 2025
2h ago
Miezi saba baada ya shule kadhaa za secondari msingi kuamua kuchukua mwelekeo wa masomo ya Kirusi kama njia mojawapo ya kusaidia watoto angalau kuelewa lugha moja ya kigeni kwa mujibu wa mtaala wa CBE nchini.