Back to home

Mvuvi atoweka Lamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
2h ago
Familia moja kutoka eneo la Kiunga kaunti ya Lamu inatafuta majibu kuhusiana na kutoweka kwa mvuvi aliyetekwa nyara na wanaume zaidi ya Sita ambao waliokuwa wameficha nyuso zao wiki iliyopita. Mohammed Omar, mwenye umri wa miaka 41, alitekwa nyara tarehe 12 Septemba nyumbani kwak