Back to home
Watoto waliopotea Lucky Summer hatimaye wapatikana katika kituo cha mayatima Kayole
video
C
Citizen TV (Youtube)September 20, 2025
1h ago
Ni afueni kwa familia moja katika mtaa wa Lucky Summer hapa jijini nairobi baada ya watoto wao wawili walioripotiwa kutoweka wiki tatu zilizopita kupatikana. Watoto Ketra na Juneida wameunganishwa na familia yao hii leo baada ya kupatikana katika mtaa wa Kayole. Na kama anavyorif