Back to home
Rais Ruto amkosoa Kalonzo
video
C
Citizen TV (Youtube)September 20, 2025
1h ago
Rais William Ruto amemkosoa kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka akisema anawapotosha wakazi wa Ukambani kuhusu maswala ya uongozi bora na maendeleo.
Rais ambaye alihudhuria ibada maalum katika chuo cha Eastern Kenya Intergrrated College eneo la Mitaboni, kaunti ya Machakos, aliwarai