Back to home

Wakili Francis Okomo Okello azindua tawasifu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 20, 2025
2h ago
Wakili Francis Okomo Okello amezindua tawasifu yake "Concert of Life: From the lakeshore to the boardroom' ambapo ameangazia safari yake kutoka kijijini hadi kwenye meza ya uongozi wa mashirika mbalimbali humu nchini na kwingineko. Okello anatafakari kuhusu hatua muhimu alizopig