Back to home
Mpito wa CBC wakwama, wanafunzi gredi ya 9 katika hatari
video
C
Citizen TV (Youtube)September 21, 2025
2h ago
Siku 30 kabla ya wanafunzi kufanya mitihani, changamoto zimeendelea kujitokeza kwa maandalizi ya mpito wa wanafunzi wa gredi ya 9. Huku serikali ikisema imejiandaa na iko tayari kwa sekondari ya juu, wachapishaji vitabu nchini wanasema bado hawajaanza kuchapisha vitabu hivi kutok