Back to home
Rais Ruto aungana na viongozi wa dunia UNGA Marekani
video
C
Citizen TV (Youtube)September 21, 2025
2h ago
Rais william ruto amewasili nchini marekani kuhudhuria kikao cha themanini cha baraza kuu la umoja wa mataifa - unga. Kikao hiki huwaleta pamoja marais wa mataifa mbali mbali kuhudhuria na pia kuhutubia wajumbe kuhusu hali ya mataifa yao na ulimwengu kwa jumla. Rais ruto anataraj