Back to home
Ndakwa atawania kiti cha eneo bunge la Malava kwa tikiti ya UDA
video
C
Citizen TV (Youtube)September 22, 2025
1h ago
Mwenyekiti wa ODM Kaunti ya Kakamega, Gavana Fernandes Barasa, ametangaza kuwa Chama cha chungwa kitaunga mkono mgombea wa UDA, David Ndakwa, katika uchaguzi mdogo ujao wa ubunge wa Malava