Back to home

| Ukumbi |Kurunzi ya mwakilishi wa kike [part1]

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 22, 2025
1h ago
Nafasi ya mwakilishi wa kike iliasisiwa na katiba ya 2010 Baadhi ya wakenya waliona wadhifa huo kama usio na faida Wadhifa wa mwakilishi wa kike umeleta manufaa gani nchini? Wawakilishi wa kike husimamia hazina ya maendeleo ya NGAAF?