Back to home

Rising starlets warudi nyumbani kujiandaa mechi ya Jumapili

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 22, 2025
2h ago
Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake wa chini ya umri wa miaka 20 the rising starlets imerejea nchini baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya ethiopia katika mechi ya kufuzu kwa kombe la dunia iliyochezwa jijin Addis Ababa.