Back to home
Wosia wa Emmanuel Terer
video
C
Citizen TV (Youtube)September 22, 2025
2h ago
Ni kipi kinakufanya umdharau binadamu mwenzako katika Dunia ambayo Mungu anambariki yeyote wakati wowote pasipo idhini? Nimeshuhudia waliodharauliwa wakiinuliwa na waliojiona bora wakianguka pasipo kutarajia