Back to home
Vincent Ruto ashinda tiketi ya UDA ya wadi ya Chemundu-kapng’etuny
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
2h ago
Vincent Kiplimo Ruto mwanawe aliyekuwa mwakilishi wa wadi ya Chemundu-Kapng'etuny Julius Kipruto Keter, aliibuka mshindi wa uchaguzi wa chama cha UDA kwenye wadi hiyo .