Back to home

Familia yataka majibu kufuatia kifo cha polisi Kabiru nchini Haiti

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 23, 2025
3h ago
Familia ya Benedict Kabiru, afisa wa polisi aliyeripotiwa kutoweka wakati wa operesheni ya kiusalama nchini haiti mwezi machi mwaka huu sasa inataka majibu kamili kutoka kwa serikali kufuatia kauli ya rais william ruto hapo jana kuwa alifariki. Katika kikao maalum cha kujadili op