Back to home
Familia za aaathiriwa wa Endarasha wadai haki na fidia mahakamani
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
2h ago
Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu wamewasilisha Kesi mbili mahakamani wakilenga kuhakikishia familia za waathiriwa makasa wa moto katika shule ya hillside endarasha haki. Wanaharakati hao wanataka familia za watoto 21 waliofariki kwenye moto huo kufidiwa na mahakama kui