Back to home
EACC yamfumania msajili wa ardhi wa kaunti ya Busia
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
5h ago
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) inamzuilia msimamizi wa Usajili wa Ardhi wa kaunti ya Busia, Collins Aiela Liyayi kwa madai ya kupokea mlungula wa shilingi 10,000 ili atoe hatimiliki ya ardhi aliyokuwa anazuilia.