Back to home

Familia ya Benedict Kabiru yataka majibu ya kifo chake kutoka kwa serikali

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 24, 2025
3h ago
Familia ya Benedict Kabiru, afisa wa polisi aliyeripotiwa kutoweka wakati wa operesheni ya kiusalama nchini Haiti mwezi Machi mwaka huu sasa inataka majibu kamili kutoka kwa serikali kufuatia kauli ya Rais William Ruto hapo jana kuwa alifariki. Katika kikao maalum cha kujadili op