Back to home
Usalama maeneo ya mpaka ya Turkana na Pokot waimarishwa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
2h ago
Wadau kutoka sekta ya usalama maeneo ya mpaka ya Turkana na Pokot magharibi wamekongamana mjini Lodwar kutathmini hatua zilizopigwa kuzuia wizi wa mifugo.