Back to home
Hatima ya wahudumu 91 wa afya yatia shaka baada ya miezi 15 bila mshahara
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 24, 2025
2h ago
Hatima ya wahudumu wa afya 91 waliokuwa wakifanya kazi kwa kandarasi chini ya mpango wa kukabiliana na Kifua Kikuu wa Global Fund haijulikani baada ya kulazimishwa kufanya kazi kwa miezi 15 bila mshahara.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday.