Back to home

Familia yataka majibu kuhusu kifo cha Simon Warui seli

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 24, 2025
3h ago
Familia ya Simon Warui, aliyefariki akiwa korokoroni katika kituo cha polisi cha Central mjini Mombasa, imetofautiana na matokeo ya uchunguzi wa mwili wake ambao ulionyesha kuwa alifariki kwa kukosa pumzi baada ya kuvunjika shingo. Kwa mujibu wa polisi, Warui alianguka kutoka juu