Back to home
Ramogi FM yaadhimisha miaka 22 ya kuelimisha na kuburudisha
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
2h ago
Kituo cha Redio Ramogi FM kimeadhimisha miaka 22 tangu kuanza kupeperusha matangazo yake mwaka 2002.ramogi fm inayotangaza kwa lugha ya dholuo ni mojawapo ya redio zinazomilikiwa na kampuni ya royal media services. Stesheni hii imeenziwa kwa vipindi vya kuburudisha, kuelimisha na