Back to home
Uchunguzi wa maiti za Kwa Binzaro wakosa majibu kamili
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
3h ago
Shughuli ya upasuaji kwa miili na viungo vilivyopatikana msitu wa Kwa Binzaro kaunti ya Kilifi imefanyika katika hifadhi ya maiti ya Malindi. Shughuli hiyo ya upasuaji imendeshwa na mpasuaji mkuu wa serkali Johansen oduor ikijiumuisha maafisa wa upelelezi kutoka kitengo cha kuchu