Back to home

Moto yateketeza majengo katika Chuo Kikuu cha Tharaka

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 25, 2025
3h ago
Chuo Kikuu cha Tharaka kimekumbwa na janga kubwa baada ya majengo ya Administration Block na ICT kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo. Moto huo ulidumu kwa zaidi ya saa saba bila msaada wowote wa kuzima moto.