Back to home
Gavana wa Trans Nzoia amekuwa akipokea wajumbe wa kisiasa
video
C
Citizen TV (Youtube)September 25, 2025
2h ago
Katika siku za hivi majuzi, gavana wa Trans Nzoia George Natembeya ameonekana kusogea nje ya mipaka ya siasa za kaunti yake, akipokea wajumbe wa kisiasa kutoka maeneo mbalimbali na pia kuzuru kaunti zingine akitafuta uungwaji mkono. Swali kuu kwa sasa ni: Je, hii ni dalili kwamba