Back to home

Kenya yalazwa na Cuba, yailaza Korea Kusini kwenye baseball ya chipukizi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 25, 2025
2h ago
Timu ya taifa ya baseball kwa wachezaji watano chipukizi imeanza michuano ya kombe la dunia kwa matokeo mchanganyiko huko Nayarit nchini Mexico.