Back to home

Shule bila vyoo Chepkutbei Narok

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 26, 2025
2h ago
Wazazi na bodi ya shule ya msingi na Sekondari msingi ya Chepkutbei wadi ya melelo Narok kusini wameelezea hofu ya usalama wa wanafunzi wa kike baada ya vyoo vya wanafunzi wa kiume kuporomoka .