Back to home
Wanawake washauriwa kuwania viti vya kisiasa 2027 kaunti ya Bomet
video
C
Citizen TV (Youtube)September 26, 2025
1h ago
Huku uchaguzi wa mwaka wa 2027 ukijongea,wanawake kutoka kaunti ya Bomet chini ya mwavuli wa Young Women in Politics wameshauriwa kungia kwenye jukwaa la uongozi wa kitaifa.