Back to home
Wakenya waamini kuwa nchi yaenda mrama kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Infotrak
video
C
Citizen TV (Youtube)September 26, 2025
2h ago
Haya yalipokuwa yakijiri, asilimia hamsini na saba ya wakenya wanasema kuwa taifa linaelekea pabaya huku asilimia kumi na saba wakiridhishwa na mwelekeo wa taifa. Haya ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kampuni ya utafiti ya Infotrak unaosema kuwa wakenya wengi wanalalamikia