Back to home

Wakazi wa Kaitui huko Kericho wawauwa washukiwa wawili wa wizi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 26, 2025
3h ago
Wakazi wa Kaitui kaunti ya Kericho waliwapiga kwa mawe washukiwa wawili wa wizi wa pikipiki hadi kufa kisha wakateketeza gari walilokuwa nalo.