Back to home

Wakandarasi watakiwa kukamilisha miradi kwa wakati uliopangwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 26, 2025
2h ago
Serikali imewataka wakandarasi wote waliopewa zabuni za miradi ya ujenzi wa barabara kote nchini kuhakikisha wanatimiza masharti ya kandarasi zao ndani ya muda uliopangwa, la sivyo hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.