Back to home
Idara ya afya katika kaunti ya Nandi yashirikiana na Swiss Ability
video
C
Citizen TV (Youtube)September 26, 2025
2h ago
Idara ya afya kaunti ya Nandi kwa ushirikiano na Swiss Ability imezindua kituo cha kutengeneza miguu bandia na viungo vingine vya kutembea katika hospitali ya rufaa ya Kapsabet .