Back to home

Wanafunzi 700 wafuzu kwa lugha ya Kijerumani Homa Bay

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 26, 2025
2h ago
Wanafunzi hao wanatoka katika familia za mapato ya chini. Wanafunzi 700 kutoka familia zisizojiweza katika kaunti ya homa bay wamekamilisha mafunzo ya lugha ya Kijerumani katika Chuo Kikuu cha Tom Mboya