Back to home

Viongozi wa ODM wasema watasalia serikalini hadi 2027

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 26, 2025
2h ago
Chama cha ODM sasa kinasisitiza kuwahawatasalia tena katika upinzani na hivyo kinaweka mikakati ya kuhakikisha kimesalia uongozini kama chama ama muungano wa vyama. Wakizungumza katika uga wa Gusii kwenye hafla ya kusherehekea miaka 20 ya Chama hicho, viongozi wa Chungwa wakiongo