Back to home

Saratani: Walezi wasimulia hadithi za kupona, ujasiri na nafasi ya matumaini katika maisha

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 27, 2025
1h ago
Saratani mara nyingi huzungumzwa kwa lugha ya kutisha, maumivu na hasira. Walezi na wanaharakati walikusanyika jijini Nairobi kusimulia hadithi za kupona, ujasiri na nafasi ya matumaini katika maisha. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday