Back to home

Wasimamizi wa makao ya watoto wataka wajumuishwe kwenye SHA

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 29, 2025
2h ago
Wasimamizi wa makao ya watoto yatima katika kaunti ya Samburu,wametoa wito Kwa wizara ya afya kutafakari upya jinsi bima mpya ya afya ya SHA itawajumuisha watoto yatima kama ilivyokuwa kwenye bima ya NHIF iliyofutiliwa mbali.