Back to home

Wakazi wafurahia uamuzi wa korti wa mashamba kupimwa eneo bunge la Voi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 30, 2025
2h ago
Ni afueni kwa wakazi zaidi ya elfu nne wa shamba la Kishamba B eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta baada ya mahakama ya ardhi na mazingira kuamuru wakazi hao kupimiwa ardhi zao.