Back to home
Vijana washauriwa kujitokeza kwa wingi katika siku ya pili ya usajili wa wapigakura
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
4h ago
Siku ya pili ya zoezi la usajili wa wapiga kura wapya limeshuhudia idadi ndogo ya wakaazi waliojitokeza kufikia katika vituo mbalimbali jijini Mombasa.