Back to home
Samson Talaam na wenzake wanyimwa dhamana na mahakama katika kesi ya mauaji ya mwalimu Albert Ojwang
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
3h ago
Mahakama ya Kibera hapa jijini Nairobi inaendelea kusikiliza kesi ya mauaji ya mwalimu Albert Ojwang huku ikiwanyima dhamana washukiwa sita akiwemo mshukiwa mkuu Samson Talaam. Kesi hiyo sasa imepangiwa kuanza kati ya tarehe 17 hadi 21 mwezi ujao