Back to home

Viongozi, familia na marafiki wamuenzi Dalmas Otieno kwa utetezi wa haki za wakenya

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 30, 2025
3h ago
Familia, marafiki na viongozi mbalimbali wamemkumbuka waziri wa zamani marehemu Dalmas Otieno kama kiongozi aliyejitolea kutetea haki za wakenya na kuleta mabadiliko alipohudumu kama waziri