Back to home

Vijana waanzisha kampeni ya kuwahimiza wenzao wajitokeze kuchukua kura

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 1, 2025
3h ago
Kundi la vijana kutoka eneo mbunge la Laikipia Magharibi limeanzisha harakati za kuhamasisha vijana wenzao kutoka eneo hilo kujiandikisha kuwa wapigakura .